Img
Img
24/7 hours support
selltek@epimactech.co.tz
img img
star SELLTEK PAY
img
igm img

Kwa Nini Selltek Pay?

Rahisisha ukusanyaji wa malipo kupitia Lipa kwa Simu kwa gharama nafuu, usalama wa hali ya juu na uthibitisho wa papo hapo.

Muunganisho Mmoja Tu

Unganisha API ya Selltek Pay mara moja na anza kupokea malipo kwenye website au app yako bila usumbufu.

Image
Hakuna Payment Link

Mteja analipa moja kwa moja kupitia Lipa kwa Simu bila kutengeneza payment link, QR Code au kutumia kadi.

Image
Mitandao Yote Tanzania

Kubali malipo kupitia Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa na huduma nyingine zinazoungwa mkono.

Uthibitisho wa Papo Hapo

Baada ya malipo kufanyika, mfumo wako hupokea uthibitisho kiotomatiki na kufungua huduma bila hatua za ziada.

Image
Salama na Ya Kuaminika

Kila muamala unalindwa kwa viwango vya juu vya usalama ili kuhakikisha malipo na taarifa zako ziko salama.

Ada Nafuu

Hakuna ada za kila mwezi wala gharama za kufungua akaunti. Unalipa asilimia 1 tu kwa kila muamala uliokamilika.

Image
Image
API ya Kisasa ya Malipo

Unganisha Selltek Pay Kwenye Website au App Yako

Selltek Pay hukuwezesha kupokea malipo kupitia Lipa kwa Simu kutoka mitandao yote Tanzania. Mteja analipa papo hapo na mfumo wako hupokea uthibitisho wa malipo kiotomatiki kupitia API.

Muunganisho Rahisi wa REST API na Webhooks
Uthibitisho wa Malipo kwa Sekunde Chache
Inafanya Kazi na Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa na Mitandao Mengine

Payment Method

M-PESA

MIX BY YAS

AIRTEL MONEY

HALOPESA